Wafanyabiashara wa soko la big brother,Urafiki ambao siku kadhaa zilizopiwa walibomolewa mabanda yao kwa kinachodaiwa kuwa ni kupisha uwekaji wa nguzo za umeme mkubwa,wamerudi tena katika eneo lao hilo la biashara tena kwa kasi ya ajabu.hii ni kutokana na kutokuwa na taarifa ramsi ya kubomolewa vibanda vyao na kusema kwamba wao wanajenga tena vibanda vyao na waone kama kuna atakaekuja tena kuvibomoa.
yaani mambo ni kama zamani tu,libeneke linaendelea kama kawa.
 

 
 


 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment