

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dr. Mary Nagu akizungumza na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya China, ulioambatana na Jumuiya ya wafanyabiashara wakubwa Duniani kutoka nchini China walipofika Ofisini kwake Jijini Dar es Salaa leo. Ujumbe huo umekuja kwa nia ya kujenga mahusiano makubwa baina ya Tanzania na China katika kuboresha na kuinua uchumi wa Tanzania kupitia Idara ya Uwekezaji na Uwezeshaji ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

Baadhi ya wajumbe wa ujumbe huo kutoka China wakiwa katika Kikao na Waziri Nagu.
No comments:
Post a Comment