HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 10, 2011

nathan mpangala aja na libeneke jipya


Habari wadau wa blog ya jamii na wapenzi wa katuni.

Katika kuhakikisha wadau wa katuni mnapata kile mnachotarajia, sasa uhondo wa ukweli wa katuni mtaupata kupitia blog hii mpya.

Utapata katuni mpya kila siku na wakati mwingine photographs za matukio yasiyo ya kawaida. Mdau, kuwa huru kutoa maoni yako. Isitoshe kama una jambo lolote ambalo unadhani linafaa kuchorewa tafadhali sema, blog hii ipo kwa ajili hiyo.

Mdau,
Nathan Mpangala(cartoonist, illustrator&animator)

www.komicfirst.blogspot.com
+255 713 262 902

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad