
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya FBME tawi la Dar es Salaama wakicheza mchezo wa kuvutaa kamba katika siku yao ya michezo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika fukwe ya Beachcomber.

Mabosi wa benki hiyo ya FBME tawi la Dar es Salaam wakiwa wameshika kuku tayari kwa maandalizi ya mchezo wa kukimbiza kuku hao.



Na huku mambo yalikwenda namna hiii.

Wafanyakazi wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam walijigawa kitimu ili kufanikisha mchezo wa mpita wa miguu ambapo hapa ilikuwa ni sehemu ya salamu kabla ya kuanza kwa mtanange wao wa soka la ufukweni.

"Hapa hapiti mtu"

Kaba nikukabe ilichezeka wakati huu.

Mara baada ya kumalizika kwa baadhi ya michezo ya mchangani,mambo yalihamia huku katika kuonyesha umahiri wa kuyasakata magoma kama ionekanavyo hapa.

"Baada ya pilika nyingi za kimichezo,sasa ni mapumziko kwa kina Dada wa benki ya FBME tawi la Dar es Salaam.

Picha ya Pamoja kabla ya mtanange wa mchangani.

Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa michezo yoote.
Mussa kama vile mganga wa kienyeji anataka kumtoa kuku kafara hahahahahah....by sponsor :p
ReplyDelete