
Mmoja wa waanzilishi wasimamizi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo) kwa hapa nchini,Kaye Billy akizungumza katika mkutano wa wataalamu wa ICT katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar jana.

Irene Joseph akizungumzia mambo yafanyikayo na COSTECH katika mkutano huo uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.

Muanzilishi wa Mtandao wa PUSH MOBILE,Brian Waluchio akitoa ufafanuzi juu ya mtandao wake huo unavyofanya kati katika nyanja mbali mbali hapa nchini.

Muanzilishi wa Mtandao wa BONGO LIVE,Taha Jiwali akielezea namna mtandao wake unavyofanya kazi katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanika jana jioni katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.

Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo akiuliza maswali kwa wahusika.

Mdau Patrick (shoto) pamoja na wadau wengine wakifuatilia mkutano huo.

Mapitio yakiendelea.

Wajumbe waliohudhulia mkutano huo wakiufuatilia kwa makini.
kwa mambo kadha wa kadhaa yahusuyo Mobile Monday
No comments:
Post a Comment