Mtaalamu wa bidhaa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma akionyesha hatua zitakazotumika katika kutuma sms kwenda namba 15544 na kujishindia milioni 3 kila siku katika promosheni ya kuwa milionea kila siku kwa muda wa siku 70 jumla ya shilingi Milioni 210 kushindaniwa,katikati Ofisa bidhaa na huduma Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa kampuni hiyoMatina Nkurlu.
Ofisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania Bw. Elihuruma Ngowi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya kuwa milionea kila siku kwa muda wa siku 70,tuma sms yenye neno Pesa kwenda 15544 na kujishindia milioni 3 kila siku katika promosheni hiyo,jumla ya shilingi Milioni 210 kushindaniwa,katikati Mtaalamu wa bidhaa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma, Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
No comments:
Post a Comment