
Wataalamu wa uwekaji wa mabomba ya maji katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa katika moja ya sehemu ya kazi zao maeneo ya Kinondoni B ambapo kwa takribani siku kadhaa kulikuwa na tatizo la uwagikaji wa kaji katikati ya barabara ya Kawawa rodi.sasa sijui kazi yao ikimalizika watakumbuka kufukia hilo shimo lao.maana kwao kuchimba ni rahisi kuliko kufukia.
No comments:
Post a Comment