usiku huu pale maeneo ya Sinza afrika sana kulikuwa na msonga mano mkubwa sana wa magari kutokana na magari mawili kupigana pasi katika makutano hayo kama kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilivyolinasa tukio hili.
No comments:
Post a Comment