HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 5, 2011

tembea uyaone......

Mwanamke huyu ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa haraka aliekuwa akipita katika maeneo ya Biafra,Kinondoni jijini Dar asubihi majira ya saa 3 karibu kabisa na kituo cha mabasi huku akiwa ameshikilia kifuko kilicho na pombe aina ya Konyagi a.k.a Kiroba huku akivuta sigara (fegi) akiwa kama unavyo muona hapo pichani. vijana kwa watumwazima waliokuwepo katika eneo hilo walianza kumkodolea macho huku wakina mama kwa kuona kama anawadhalilisha waliamua kumchangia pesa ili aweze kuchukua taxi na kuelekea huko aendako lakini haikuwa hivyo kwani alichukua hela hizo na kuendelea kuchapa mwendo huku fedha zile akiongeza kununua pombe aina za viroba (Konyagi za pakti) pamoja na sigara kwa wingi na kuendelea.Ukimuangalia Mwanamke huyo kwa umri wake hakupaswa kabisa kufanya vitu kama hivyo kwa ni mtu mzima sana kulinganisha na wale wanaostahiki hivi kutokana na umri wao na muda wa kuvaa mavazi kama haya,hasa ukizingatia namna maadili ya nchi yetu yanavyosema.Picha ni kwa hisani ya Mdau Amani Maseu wa

http://kilinyepesi.blogspot.com/

Mfanyabiashara wa sigara katika kituo cha mabasi yaendayo mwenge eneo la kanisani akimsaidia moto mama huyo.
Kulia ni Mama msamalia aliejitokeza na kumuomba amkodie taxi ili aweze kwenda huko aendako ili kuweza kuificha aibu hiyo aliyokuwa akiionyesha Mwanamke huyo ambapo watu wengi walikuwa wakiseka kuwa alichelewa kutoka kazini,sasa sijui ni ofisi gani wanaruhusu mfanyakazi avae hivi??
Mwanamke huyo hakutaka kusikia la Mwadhini wala la Mnadi swala alichokiona yeye kinafaa ndicho alichokifanya na kuendelea kuwaacha watu midomo wazi.hapa akiendelea kuchapa mwendo kuelekea aendako na sijui alifika salama au la.

3 comments:

  1. Kazi kweli kweli...!!!!!
    Mambo ya kuiga haya,wakati mwingine si mazuri sana.

    We mama hebu tutolee upuuzi wako huo. Mi naona kama kadata vile???

    ReplyDelete
  2. HUYO MAMA ANAITWA FATUMA ANAKAA KIGAMBONI UCMUONE HIVYO ALIOLEWA NA MZUNGU ANA WATOO2 WAKUBWA ILA HAKAI NAO POMBE ZIMEMWARIBU NANI M2 MZIMA SANA ILA NDO HIVYO TENA MJINI ANAJIUZA MWILI HIYO NDO VAA YAKE.....NA UKIMKUTA KALEWA LOOOOO ANASASAMBUA KABISA..

    ReplyDelete
  3. huyo kashindikana kweli aliolewa na mzungu na alikuwa na maisha mazuri tu sasa sijui dawa maana hata mzungu alimshindwakigamboni amehama kule alikuwa anakaa na mzungu sasa hivi anakaa karibu na huku kamanyola akilewa huwa anatoa bure vijana wengi wanamfaidi sana wenye ukame na madem

    ReplyDelete

Post Bottom Ad