HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 5, 2011

wapigie kura mapacha watatu waweze shinda tuzo za kili music award 2011

Moja ya Scene katika video ya wimbo wa Shika Ushikapo inayoshindanishwa katika Wimbo bora wa Kiswahili (Bendi)

Katika Kilimanjaro Music Awards 2011 Mapacha Watatu Tumefanikiwa Kuingiza Wimbo Mmoja pia Pacha Mmoja Khalid Chokoraa nae Kaingia katika kinyang'anyiro cha Rapa bora wa bendi.

Tunaomba Kura Zenu Tafadhali.
Kupigia Kura Wimbo Wa Shika Ushikapo wa Mapacha Tuma sms yenye maneno G173 kwenda Namba 15747 . Na Kumpigia Kura Chokoraa Andika M110 kwenda 15747
Khalid Chokoraa Akiwa Kazini katika Moja ya show za Mapacha Watatu

1 comment:

Post Bottom Ad