HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 21, 2011

siku ya kuzaliwa ya mpiganaji geofrey mwakibete


Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Mwana Libeneke Gofrey Mwakibete wa MO BLOG,hivyo Mtaa kwa Mtaa Blog inampongeza sana mpiganaji huyu kwa kufanikiwa kuongeza namba katika umri wake na Mungu amjaalime maisha marefu zaidi na zaidi.

HAPPY BIRTHDAY BROTHER GEOFREY

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad