HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 20, 2011

gari yaingia mtaroni mchana kweupeee

Magari yanayojihusisha na shughuli za uobebaji wa magari yaliyopatwa na mushkeri maarufu kwa jina la ya Mizoga yakisaitiana kutoa gari iliyoingia mtaroni mchana huu maeneo ya Mwenge.
Gari ikitolewa mtarini mara baada ya kupoteza muelekeo na kujikuta ikiingia humo.

Picha na Dj Choka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad