HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 11, 2011

hivi ule utaratibu wa magari haya kuingia mjini usiku uliishia wapi??

maana hii sasa ni kero,si mnaona hilo daladala lilivyolazimika kuovateki kwa upande wa kushoto ambapo sio taratibu ya sheria zetu za barabarani.
ndinga limededi na kusababisha hadha kwa magari mengine kwa namna hii.
hapa ni mchakachuo ndio umekamilika kutokana na hilo gari kubwa lililodedi hapo kati.wenye data kuhusu ule muda uliowekwa kwa magari haya kuingia mijini nyakati za usiku twaomba tujuzwee tafadhali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad