
Alfred Martin (JP) akiwa na mkewe Angel katika hafla ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City usiku huu.

Maharusi na wapambe wao wakiwa meza kuu.

Maharusi na wapambe wao waki na grass zao za shampen tayari kwa kukonganisha cheazzzzz.

Maharusi Alfred Martin na Angel Ngailo wakifungua muziki usiku huu.

Sebene limekolea.....

Maharusi wakiwa na Mzee wa Libeneke,Ankal Michuzi pamoja na Mdau Sunday Shomari alietua hivi karibuni toka Marekani.

Zoezi la Keki likichukua nafasi yake.

Kekizzz.....

Wadau wakiwakilisha kama kawa.

Wadau.

Pozzz na Snap.

Ukumbi ulipambwa na ukapambika kama mnavyoona hapa pichani.
nimeipenda harusi,mpambaji ni nani?
ReplyDeletenamwona Terrence pale kwa mbali and i have a question Is he married? Just wondering..:)
ReplyDeletempamabaji jaman...mmependeza...best weddn ever...hamna mpamabaji kama huyu..gone to all weds..this z smthn!!
ReplyDeletemzee wa Libeneke inabidi nikupeleke Gym naona kitambi kinazidi kukua..picha ya kwanza juu
ReplyDelete