HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 6, 2011

tigo yafanya mkutano na wafanayakazi wake wa kujitegemea

Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza kuhusu huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mauzo wa Tigo Tanzania, Brahim Nallar (kulia) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Ofisa Uhusiano wa Tigo Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kulia) akitoa maelekezo jinsi ya kupata huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa kutumia simu ya mkononi kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mradi wa Tigo Pesa Tanzania, James Murithi (wa tatu kushoto) akitoa maelekezo ya huduma mbalimbali za Tigo Pesa kwa baadhi ya wafanyakazi wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa katika mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakai wa kujitegemea wa timu ya mauzo ya Tigo Pesa wakimsikiliza mmoja wa maofisa mauzo wa Tigo Pesa, Fadhila Saidi (kulia) wakati wa mkutano wao jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad