
Dj Bon Love (tatu shoto) pamoja na Mdau Abdallah (au tatu kulia) wakiwa na wadau wengine ndani ya ngome kongwe usiku huu kwenye tamasha la Sauti Za Busara 2011.

Mkuu wa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye akiwa na Miss Afrika & Australia,Zaituni (kati) pamoja na Mama yake Bi. Amina wakiwa ndani ya Ngome Kongwe wakifuatilia Tamasha la Sauti za Busara 2011.

Watu weweeeeeee...........
naona unawakilisha mzee
ReplyDeletenaona unawakilisha mzee
ReplyDelete