HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 5, 2011

mitaa ya isanga mchana wa leo

Mtu mzima nikata mitaa ya Isanga,jijini Mbeya mchana wa leo,sijui wenyeji wa huku wako wapi??

1 comment:

  1. Mwee umenikumbusha mbali we Michuuzi!Unajua dogo huko mi ndio ilikuwa ni mitaa yangu yaani nikitorokaga tu pale shuleni Sangu mi break ya kwanza ni Isangaa kwa rafiki yangu kambason basi tunakaa wenyewe tunalivuta wee mpaka basi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad