HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 5, 2011

eneo la mafiati

hili ni eneo la Mafiati.jijini Mbeya.ambapo ukinyoosha moja kwa moja ni kuelekea Tunduma mpaka Zambia,Kulia ni kuelekea katikati ya jiji na kushoto ni Uwanja wa Ndege wa Mbeya.hili ni eneo la hatari sana hasa kutokana na kukosekana kwa taa au vifaa vya kuongozea magari na watu watembeao kwa miguu.sijui wakuu wa jiji hili wanampango gani na eneo hili???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad