
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Hemajo Entertainment,Edith Subeti akizungumza usiku wa kuamki leo wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo na uzinduzi wa saba saba tatu ya Clouds Fm ndani ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza.

Meneja wa vipindi wa Radio Clouds Fm,Sebastian Maganga akizungumza katika uzinduzi huo ndanyi ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza usiku wa kumkia leo.

Gea Habib.

Dina Marious.

Zamaradi Mketema.

PG Kweka a.k.a Baghdad.


Barnaba na Linah wa Mwanza wakikamua wrong number.

Sajna akikamua na kitu cha Iveta.



Amini na MC G. Sengo.

Kiduku cha amini na mwanadada.


kwaitozz




Mkuu wa vipindi wa Clouds Fm,Seba Maganga (shoto),Zamaradi Mketema (pili kilia) Mie (pili shoto) pamoja na Dina Marious.

Amini na Barnaba wakifanyiwa Mahojiano na Moshyn a.k.a Kimodo wa Clouds Fm.


No comments:
Post a Comment