HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 10, 2011

zimesalia siku 11 kumpata Shujaa wa Safari lager

Akielezea utaratibu wa kupiga kura; Meneja wa bia ya Safari,Fimbo Buttah alisema“Baada ya kufuatilia mambo waliyofanya mashujaa hawa watatu walioingia fainali, wananchi watatakiwa kumpigia kura shujaa wanayetaka atwae tuzo hii ya “Shujaa wa Safari Lager”, line za kupiga kura zitakuwa wazi kuanzia leo hii hadi tarehe 21 Januari.

Na jinsi ya kupiga kura ni kama ifuatavyo;

Ingia katika sehemu ya ujumbe katika simu yako, andika neno Shujaa acha nafasi, andika herufi inayomwakilisha shujaa wako (A kwa Mercy Shayo,B kwa Paul Luvinga na C kwa Leonard Mtepa) kisha tuma kwenda namba 15310”. Utapata ujumbe kukuthibitishia kuwa kura yako imepokelewa.

Alisema huu ni muda kwa watanzania kuweza kufuatilia kwa ukaribu taarifa za mashujaa wetu na kumpigia kura yule uonae anafaa kuwa shujaa wa Tuzo ya safari lager kwa mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad