HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 10, 2011

kafungua duka halafu kaingia mitini

sijui biashara imemshindaaa???maana kafungua duka katikati ya barabara halafu katoweka.

2 comments:

  1. hahah huyo kaishiwa wese, yaani hapo kafungua duka gelesha tuu, kumbe kachukua kidumu cha 1.5lita kufuata kiwese

    ReplyDelete
  2. Hili ndio tatizo la kutojua sheria za barabara au hata udereva kwa ujumla, sasa kwanini asilisukume pembeni kidogo ili watumiaji wengine wa barabara wapite bila usumbufu? hivi ndio vitu vingine vya kipuuzi vinavyosababisha foleni zisizo kwisha

    ReplyDelete

Post Bottom Ad