
si mnaona mahindi yanavyoanza kustawi hapa,sasa endeleeni kujifanya hampaoni hapa.huku wenzenu wanaendelea kufaidika kwa kujipatia mazao bila kulipia eneo.

cheki vitu vinavyoendelea kustawi,tena ni kwa kasi ya ajabu.

hadi wapita njia pia wanashangaa na kuona mambo yanavyochanganya fasta namna hii.si hamtaki kulitokomeza handaki hili??basi endeleeni kukaa kimya hivyo hivyo mpaka yapatikane magunia kwa magunia ya mahidi.
No comments:
Post a Comment