HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 27, 2011

fundi hataki utani,hadi gari ipone hapo

Fundi nanihii akifanya mambo yake pale afika sana,sinza huku akiwa ameuweka bonge la msururu wa magari katika barabara hiyo.na hapo yuko full mziki,hivyo lazima gari ipone.
hii ndio bongo Daslam,ukisikia nyingine basi jua kabisa kuwa hiyo ni yakichina.maana kila kitu kiko poa tu na hakuna mtu mwenye noma na mwenzake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad