HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 21, 2011

Shughuli ya Arobaini


Marehem Hassan Jumanne Makunja
Amezaliwa 4-03-1964 amefariki 19-Dec-2010


Familia ya J.s.Makunja na Bi.Moza Mpili,Inawatarifu ndugu,Jamaa na marafiki wote kuwa Shughuli ya hitma na arobaini ya Marehem Hassan Jumanne Makunja, Itafanyika tarehe 29.01.2011 kuhamkia 30.01.2011 huko mjini utete/Rufiji kwa mama wa marehem.

kwa taarifa zaidi wasiliana namba hii 0787532929 au 0718893419, Bi.Ummy Makunja
0784617961 Bi.Zaituni Hamisi
082249496 Saleh Makunja

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad