Anajulikana kama Shetta kutoka Dastamina na track yake ya kwanza kutoka ilikua ni Me Na play ambayo alimshirikisha MwanaFA. sasa amerudi na track ambayo inafanya vizuri na video yake ambayo amemshirikisha Belle 9 nimechokwa.
Friday, January 28, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment