HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 20, 2011

ndio kusema kwamba pameshindikana hapa au inakuwaje??

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ilifanikiwa kupita eneo hili kwa mara nyingine na kuwakuta hawa jamaa wanaohusika na swala zila la kuzibua chemba zilizojaa wakifunga vifaa vyao na kuondoka katika eneo hilo.sasa sijui walifanya nini?? maana mambo bado yako vile vule na sioni kama kuna hatua zingine za aina yoyote zitakazofanyika kutokomeza tatizo hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad