
huu mzigo unaheshima kubwa sana kule kwa kina nanihii,yaani ukipata zali kama langu la kupewa zawadi hii kutokea pande ile basi wewe umeheshimiwa sana.ndani yake humo kuna kitu cha Senene waliokaangwa vizuri sana.ahsante sana mdau kwa zawadi hii nzuri.
mmhhh kaazi kweli kwelii
ReplyDeletemmhhh kaazi kweli kwelii
ReplyDeleteMMMMHH.UNANIKUMBUSHA HUKO KWETU NA KAFURUSHI AKO.HUKU UGAIBUNI TUNAMISS VITU KAMA HIVYO.HONGERA SANA KWA KAFURUSHI HAKO.NI HESHIMA KUBWA KUZAWADIWA ICHO. SIKUFICHI NDUGU YANGU.
ReplyDelete