HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 19, 2011

Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia alembelea TTCL leo

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mh. Charles Kitwanga akizungumza na maafisa wa kampuni ya simu ya TTCL wakati alipotembelea kampuni hiyo na kuzungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo jijini Dar es salaam.
Viongozi wa Kampuni ya simu ya TTCL wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. Charles Kitwanga wakati alipowatembelea na kuongea nao leo katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es salaam kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Said A. Said, Mkuu wa Idara ya Fedha na Ununuzi Bw. Shabaan Mrisho, Mkuu wa Masoko na Mauzo Ernest Nangi na Mkuu wa Uendeshaji wa Mkongo wa Taifa (NICTBB) Bibi Gilder Kibola.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad