WWW.TUNES100.COM ni website kwa ajili ya Wasanii (Wanamuziki) na watu wanaopenda Muziki Tanzania.
Tunes100.com inawezesha wasanii wa Tanzania kusambaza na kutangaza nyimbo,albamu na vilevile videos kwa watu wengi wanaopenda Muziki.
Wanamuziki wanaweza kupromote nyimbo zao na watu wanaweza kupata nyimbo zao.
Tunes100.com ipo kwenye simu yako kama unapata huduma ya internet kwenye simu.
Unaweza kupata nyimbo poa BURE kutoka Tanzania au Marekani kwa kutumia simu yako.
Website ina lugha ya Kiswahili vilevile. Bonyeza bendera ya Tanzania kwenye website kubadilisha lugha kuwa kiswahili.
Wasanii wanaweza -
1.Kuweka (Upload) albums,nyimbo na picha ili watu wote wazipate Tanzania mpaka Ulaya
2.Dj's wanaweza kuweka (Upload) mixtapes zao na kujitangaza.
3.Wasanii wanaweza kushindana na kupata downloads reports.
4.Watu wanaweza kuingia na kupata music downloads latest kutoka Marekani (Chris Brown, Gucci, Rick Ross and more)
5.Tunes100.com kuna Taarabu mpaka Bongo Flava kwahiyo tunaomba wasanii na wanamuziki wote Tanzania watumie website hii kuonyesha miziki yao.
6.Wanamuziki wanaweza kuuza au kutoa bure (Promotion songs) ili wapenda muziki wajue miziki yao.
7.Wanafilamu wanaweza kuweka filamu na videos pia.
8.Watu wote watapata muziki na vilevile kuweza kutoa maoni kuhusu nyimbo za wasanii hao.
Malengo ya www.tunes100.com ni kuwezesha wanamuziki wa Tanzania,Kenya na Uganda kutangaza nyimbo zao na vilevile kupata pesa moja kwa moja (Direct) kutoka kwenye Muziki yao bila kutumia gharama za kutengeneza cd au kuuza haki za miziki kwa makampuni au mdhamini.
WWW.TUNES100.COM haimiliki na haichukui Haki au Copyrights za Muziki au albums. Wasanii ndio wanamiliki na sisi ni wasambazaji tu.
Kwa wanamuziki wanaotaka kuongea zaidi kuhusu malipo au kitu chochote, naomba watume email juliustemu@gmail.com
No comments:
Post a Comment