
Mjomba Mrisho Mpoto akiwakilisha ujumbe wake kwa walengwa kupitia mashairi yake usiku huu katika kiota cha mzalendo pub.Mjomba Mpoto ameanza kufanya mambo yake pale mzalendo pub kuanzia alhamisi hii na kila alhamisi zingine.

Msanii Ismaeel wa Mjomba Band akifanya mambo yake usiku huu.

Kwaitoz la Mjomba Band likiwa limekolea na wadau wakilisakata kiutaalam kabisa.

Mambo yaa Kitambaa cheupe na Sahani nyeupe hayooooo......

Wakuu wa Kazi,Toka shoto ni Steven Kanumba,Richie Richie pamoja na Mie.

Warembozzz....

Mjomba Mrisho Mpoto akiwa nasi usiku huu.

Joh Makini na Mdau.

Wadau wa Mjomba Band wakiwa na Dj Steve B wa Clouds FM.

Hapa ni Full Swagaaaaaa.....

Mdau Ray na Warembo usiku huu katika kiota cha Mzalendo Pub.

Mdau Richard Sakala akipata mawili matatu toka kwa wakuu.

Ray kumbe mkristu?? mi nilidhani ni ustaadhi .... huwa namwita "dachi" niliipenda sana ile filamu ya dachi na kalunde.
ReplyDeletemie sina la kusema fagilia sana nasikia zenj ilikuwa bomba
ReplyDelete