HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 14, 2011

kamuzi la mjomba band @ mzalendo pub usiku huu

hivi ndivyo Mjomba band inavyokamua usiku huu katika kiota cha Mzalendo Pub,haki ya nani tena vile unakosa uhondo kama hutatokea katika kiwanja hiki usiku huu,maana ni raha na burudani kwa kwenda mbeleeeeee............

1 comment:

  1. Jamani hao hapo ni Grace na dada yake du wamependeza.

    mambo ya sinza kwa remmy.mjomba hizo dread hali nyama au anakula maana huo mwili mkubwa na dreads man huwa wembamba coz hawapati protein.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad