HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 13, 2011

Jijini Dar leo

Mambo yetu kama kawa katikati ya jiji.
Tope pembezoni mwa mtaa wa india street.
Shimozz mbele ya jengo la Haidery Plaza.
Miti ikishindwa uzalendo na kuhamia upande wa pili wa barabara.
Mtaa wa India leo.
Raundi abauti ya Muhimbili inavyoonekana sasa.
Mtaa wa Mindu leo
mtaa huu jina lake limenitoka kidogo ila ni pale ulipo ukumbi wa Diamond jubilee holi.
Barabara ya Umoja wa Kimataifa.
Mtaa wa Kalenga,Upanga leo.

2 comments:

  1. babu mimi niko kiwanja muda kama 10 yrs hivi lakini bongo huwa natia timu kila mwaka lakini hizo picha unazo post mwana nakupa hongera sana zina niliwaza sababu hiyo barabara ya united national ndio kulikuwa home hapo kwenye flate za kulia, babu congratulation sana, peace and take care

    ReplyDelete
  2. Diamond ipo Alykhan na Malik street

    ReplyDelete

Post Bottom Ad