HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 13, 2011

hepi besdei ya kuzalia ka' mkubwa ahmad michuzi

Leo Ni siku ya Kuzaliwa kwa Ka' Mkubwa wangu Ahmad Michuzi,basi hatujalala leo kwa kelele za mavuvuzela kama anavyoonekana hapa.
Dream Team,toka shoto ni Ankal Muhidin Michuzi,Dogo Mie Kati pamoja na Mzaliwa wa leo,Ahmad Michuzi katika moja ya mishughuliko yetu mitaa ya kati.
Ahmad (kati) akiwa na wadau,shoto ni Henry Mdimu na kulia ni Ernest Makulilo Jr.
Ahmad akiwa katika misele ya hapa na pale.
Ahmad akibembea kwa raha zakeeee......
Ahmad akiangalia video na watoto wenzake katika nyuu woldi sinema ya uswazii....Blogu hii ya Mtaa Kwa Mtaa inamtakia kila la kheri na maisha marefu mai braza kaka yangu huyu.

HAPPY BIRTHDAY MA BROO...

1 comment:

  1. Nimeiona hiyo dream team. Imetoa mchango mkubwa sana katika shughuli za kublogu hapa Tanzania.

    Mzaliwa wa leo, ubarikiwe. Happy birthday mkuu...

    ReplyDelete

Post Bottom Ad