HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 7, 2011

hali hii mpaka lini jamani???

hivi hawa migambo ni nani anawapa amri ya kufanya hivi jamani???

4 comments:

  1. Si mnadai Tanzania kuna AMANI?!!!! hiyo ndo amani yenyewe sasa, hii nchi hii muda si mrefu watu watashika mitutu wazichape live bila chenga




    Mtg

    ReplyDelete
  2. Wanapewa amri na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe Dr. Jakaya Kikwete!!!!!!

    ReplyDelete
  3. mambo hayo imetufanya tuhamie ughaibuni bwana

    ReplyDelete
  4. Wanaondolewa machinga wa kigeni ili wenyeji wachukue nafasi zao..Kwa dhiki na matatizo mtu anajitafutia riziki yake inakuwa taabu Je safari tuendayo tutafika kweli
    Dunda

    ReplyDelete

Post Bottom Ad