
Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba alipotembelea Tabata Dar es salaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM

Katibu Mkuu wa CCM Bw. Yusufu Makamba akiangalia nondo wakati alipotembelea kiwanda cha nondo kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ALTAF AND COMPANY Bw. Zulfqal Ali ,Tabata Dar es salaam jana kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya kiwanda hicho kilichotoa msada mkubwa wakati wa kampeni za CCM
No comments:
Post a Comment