HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 27, 2010

kamera ya mtaa kwa mtaa jijini dar leo

Mtaa wa Undali,Upanga leo.
Hii sign ya muuza mahindi katika maeneo ya Kawe.
Mikocheni maeneo ya TMJ Hospital.
Kariakoo,Mtaa wa Msimbazi.
Mifuniko ya Mifereji imekwenda na maji pembezoni mwa kituo cha Daladala za Ubungo na Mbezi,Kariakoo.
Mtaa wa Narung'ombe ulivyokuwa mchana wa leo.
Msela akiwahisha kitoweo (Mbuzi) eneo la tukio kwa ajili ya supu.
Kituo cha Daladala njia panda ya Kunduchi leo.
Maeneo ya Msasani kwa Mwalimu Nyerere leo.
Mishkaki ya Mahindi kwa Juma pale upanga,mbele ya ukumbi wa Diamond Jubilee Holi.
Darajani JKT kama unaelekea kawe leo.

2 comments:

  1. kwa kazi zako nzuri! unastaili kila pongezi, hasa hizi za mtaa kwa mtaa, nimekuwa ni mmoja wa wapenzi kazi zako, kutembelea na kuelezea hari harisi za mitaa. ningependa zaidi kama ungeweka picha za mwanzoni mwa mtaa au mwishoni,baada ya kutoa maelezo yaliyokua kati ya mtaa. kwa sababu baadhi yao kwa sasa hatuko hapo nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Sio Hari harisi wewe ni hali halisi ebo !

    ReplyDelete

Post Bottom Ad