
Katika katiza katiza zangu za Mtaa kwa Mtaa nilifanikiwa kufika katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere Intaneshno Eapoti na kukutana ana Mwanamitindo huyu (Flaviana Matata) akiwasili nchini akitokea huko Marekani anakoendeleza libeneke lake la Mitindo kwa sasa.
Mdada katulia!
ReplyDelete