Kama ukiwa ndani ya stendi kuu ya mabasi,Ubungo hasa wakati muda kuruhusiwa kutoka kwa mabasi lazima utaona mambo haya.maana kina mmoja anataka kuwa wa kwanza kutoka stendi hapo,hii ni mapema leo asubuhi nilipoenda stendi hapo.
No comments:
Post a Comment