HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 30, 2010

soja akiwajibika

Afande huyu kwakweli anaipenda sana kazi yake,maana hataki kabisa mchezo akiwa lodini.si mnamuona??
cheki hapa anavyohimiza gari zipite fasta fasta.yaani hadi inatia raha.

ahsante ya picha kwa kaka yangu Muhidin Sufiani.

2 comments:

  1. Kuna mmoja wa pale Fire huwa ni mzuri sana anavuta magari vizuri, nafikiri anaweza kuwa huyu hapa ....... Jamaaa huwa ananifurahisha sana siku akiwepo kwani fokeni ya Jangwani wakati wa asubuhi huwa inaenda vizuri sana yaani

    ReplyDelete
  2. Lorem Ipsum proin gravida nibh vel velit auctor aliquet. Aenean sollicitudin, lorem quis bibendum auctor, nisi elit consequat ipsum, nec sagittis sem nibh id elit. Duis sed odio sit amet nibh vulputate cursus a sit amet mauris. Morbi accumsan ipsum velit. Nam nec tellus a odio tincidunt auctor a ornare odio. Sed non mauris vitae erat consequat auctor eu in elit. Class aptent taciti sociosqu ad litora torquent per conubia nostra, per inceptos himenaeos.
    Golden Gamat
    Golden Gamat
    Golden Gamat
    Golden Gamat

    ReplyDelete

Post Bottom Ad