Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete,hivyo kwa niaba ya Wadau woote na waTanzania woote kwa ujumla,napenda kuchukua wasaa huu kumtakia kila la kheri Rais wetu huyu katika maisha yake mapya anayoyaanza leo kwani ni wengi wanapenda kufikia umri kama huu lakini ni wachache wanaweza kuufikia.Mungu amjaalie afya njema na maisha marefu Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete.
HAPPY BIRTDAY
No comments:
Post a Comment