Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Mussa Salum(kushoto) akitaja mada mbalimbali leo jijini Dar es salaam zitazojadiliwa na wanasemina katika semina ya siku mbili ya kuhamasisha waumini dini ya Kiislam kujitokeza kwa wingi kuhudhuria Ibada ya Hijja.Wengine katika picha ni Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Mohsen Movahhedi Ghomi (katikati) na Mwenyekiti wa Tanzania Hijj Mission Khalid Mohamed Mrisho.
Friday, September 24, 2010

Home
Unlabelled
waislam watakiwa kujitokeza kwenye semina ya hijja
waislam watakiwa kujitokeza kwenye semina ya hijja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment