HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 24, 2010

DK. BILAL AVUNA KADI LUKUKI ZA WAPINZANI BUKOBA

Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya CCM, Dr. Mohamed Gharib Bilal akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mabila Wilaya mpya ya Kyelwa Mkoa wa Kagera, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana Sept 24 na kumnadi mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Rustas Katagila.
Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduxi CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokea kadi za waliokuwa wanachama wa Vyama vya TLP, CHADEMA na CUF waliotoka katika Kata mpya ya Lukula, ambao walifika katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mabila Wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera jana Sept 23, ambapo jumla ya wanachama 144 kutoka vyama vya upinzani walitarajia kurejesha kadi zao na 14 kati yao walikabidhi kadi hizo kwa mgombea mwenza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad