HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 28, 2010

Mambo yanaanza taratiiibu.....!!

Wafanya biashara ndogo ndogo  waliokuwa wameondolewa katika sehemu ya nje ya jengo la soko kuu la Kariakoo,jijini Dar wakionekana kurudi taratibu tarabu katika eneo hilo kama walivyokutwa na kamera ya mtaa kwa mtaa.

1 comment:

  1. watakula wapi wafukuzwe pia wapewe eneo lingine la kufanyia biashara

    ReplyDelete

Post Bottom Ad