HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 28, 2010

chem chem

Hii chem chem hapa nayo sijui vipi???maana kila siku zinavyozidi kwenda na yenyenye ndio inazidi kutoa maji kwa wingi.hii ipo pale mtaa wa Mkunguni,Kariakoo karibu kabisa na ile hotel ya al ghuruba.sasa sijui wazee wa kazi mana mpango gani nayo??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad