HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 3, 2010

Taarifa kwa wadau wa wavuti.com

Naomba nifikishie ujumbe huu kwa wadau wote wa www.wavuti.com kuwa upo usumbufu kidogo uliojitokeza kutokana na marekebisho madogo ya kiufundi yanayofanyika nje ya uwezo wa mmiliki wa tovuti. Tunawaomba watu wote watumie anwani hii wavuti.weebly.com kwa muda huu.
Tunatarajia kila kitu kurudi 'mstarini' ndani ya siku 3.
Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza.

Subi
Admin - wavuti.com

1 comment:

  1. Othman,
    Shukrani sana kwa kunipa nafasi katika blogu yako kutangaza taarifa hii.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad