
Mkurugenzi wa Tamasha la ZIFF,Dr. Martin Mhando akiongea machache wakati wa ufunguzi wa Tamasha la ZIFF lililoanza jana huko visiwani Zanzibar na kuendelea mpaka tarehe 18 julai.

Mwenyekiti wa Tamasha la ZIFF,Hassan Mitawi akiongea katika ufunguzi wa Tamasha hilo usiku wa jana.

mpiga gita maarufu ambaye pia alikuwa Mshindi wa pili wa Bongo Star Search mwaka 2008, Rogers Lucas akionyesha cheche zake katika ufunguzi wa Tamasha Hilo.

burudani mbali mbali zilikuwepo katika ufunguzi huo.


watu wengi toka sehemu mbali mbali walijitokeza katika ufunguzi wa Tamasha hilo ambalo litadumu kwa siku 8 mbele.
No comments:
Post a Comment