
Mdau Allistair Ammon Mbelle akimeremeta na mkewe Nemganga Grace Mfundo katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.

Maharusi wakiwa na wapambe wao katika meza kuu ya hightable wakati lisana ya wazazi wa pande zote mbili ikitolewa.

Bwana harusi,Allistair Mbelle akimnywesha mkewe shampen kwa upendo na unyenyekevu mkubwa.

Baba wa Bwana harusi,Prof. Ammon Mbelle akiwamiminia maharusi shampen alioifungua kwa ajili yao.

Maharusi,Allistair na mkewe Namganga wakifungua shampen kwa ajili ya wazazi wa pande zote mbili huku wapambe wao wakiwaangalia kwa umakini mkubwa.sherehe hii nzuri na ya kufana sana ilifanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbu wa Ubungo Plaza,jijini Dar

wafanyakazi wenzake na baba wa bwana harusi wakitoa mawili matatu kwa kijana wao.

ngoma ya mng'anda ilikuwepo kupendezesha shughuli hiyoo.

Mdau George Luanda alikiwa na dada nanihii wakipiga stori mbili tatu kuhusu swala zima la kamati ya maandalizi.

Wadau hawa pia walikuwepo kumpa tafu mshkaji Allistair Mbelle.

Allistair Mbelle na Mkewe Namganga Mfundo wakitoa shukrani zao za dhati kabisa kwa kamati nzima ya maandalizi ya shughuli hiyo ambayo kiukweli ilifana sana.

Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wanakamati wa shughuli hiyo.
No comments:
Post a Comment