Mwenyekiti wa baraza la michezo la Taifa,Idd Kipingu akikabidhi bendera kwa timu ya Taifa ya Kriket ambayo imeondoka nchini leo kwenda nchini Italia kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo wa kreketi daraja la nne yanayotarajia kuanza tarehe 14 augusti 2010.
No comments:
Post a Comment