katika picha hizi kuna vibao hivi ambavyo vinaonyesha mikunjo ya njia tena vipo katika sehemu moja lakini kila kimoja kiko katika muonekano wake.sasa sijui kipi kiko sawa na kipi hakiko sawa.hivyo kwa wale wataalamu wa maswala ya usalama barabarani,msaada wenu ni muhimu sana katika kuwekana sawa kwa hili.
Hicho cha picha ya juu hakionyeshi haki halisi; cha picha ya chini kiko sahihi.
ReplyDelete