HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 30, 2010

Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira wafanyika mkoani arusha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian na Naibu Waziri wa Mazingira Korea Jong Soo Yoon Wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali ya tanzania na Serekali ya Jamuhuri ya Korea Uliofanyika kwenye Hotel ya Naura Springs Mjini Arusha.
{Picha Na Ali Meja}

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad